Kila mtu ana 'time zone'

Kila mtu ana 'time zone'

hhhhj

Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
41
Reaction score
68
Mji wa New York uko masaa 3 mbele ya mji wa California lakini haimaanishi kuwa California ni mji ambao uko slow wala New York sio kwamba uko fast miji yote inaishi kwa kutegemea TIME ZONE.

Kuna mtu mpaka sasa yuko single na mwingine alioa mapema tuu na kusubiri miaka 10 kupata mtoto na yupo mwingine ambaye alipata mtoto ndani ya mwaka mmoja tuu baada ya kuoa. Kuna ambaye aligraduate akiwa na miaka 22 na akasubiri miaka 5 kupata kazi nzuri na kuna ambaye aligraduate akiwa na miaka 27 na akapata kazi mara moja.

Kuna ambaye alikuwa Mkurugenzi wa kampuni akiwa na miaka 25 tuu na akafariki akiwa na miaka 50 wakati huohuo yupo aliyeweza kuwa Mkurugenzi akiwa na miaka 50 na akaishi hadi miaka 90. So mwisho wa siku unagundua kuwa kila mmoja wetu ana TIME ZONE yake.

Ndugu zako au rafiki zako wanaweza kuwa mbele yako au wanaweza kuwa nyuma yako lakini kamwe USIWAONEE WIVU WAWAPO MBELE YAKO na pia USIWAKEBEHI UWAPO MBELE YAO maana kila mtu yupo kwe TIME ZONE yake. Hold on, be strong, and stay true to yourself, maana all things shall work together for your good.

Hujachelewa na wala hujawahi, upo ON

TIME... STAY BLESSED.
 
Mji wa New York uko masaa 3 mbele ya mji wa California lakini haimaanishi kuwa California ni mji ambao uko slow...wala New York sio kwamba uko fast ... miji yote inaishi kwa kutegemea TIME ZONE...
Kuna mtu mpaka sasa yuko single...na mwingine alioa mapema tuu na kusubiri miaka 10 kupata mtoto...na yupo mwingine ambaye alipata mtoto ndani ya mwaka mmoja tuu baada ya kuoa.
Kuna ambaye aligraduate akiwa na miaka 22 na akasubiri miaka 5 kupata kazi nzuri...na kuna ambaye aligraduate akiwa na miaka 27 na akapata kazi mara moja!!
Kuna ambaye alikuwa mkurugenzi wa kampuni akiwa na miaka 25 tuu na akafariki akiwa na miaka 50 wakati huohuo yupo aliyeweza kuwa mkurugenzi akiwa na miaka 50 na akaishi hadi miaka 90...
So mwisho wa siku unagundua kuwa kila mmoja wetu ana TIME ZONE yake... Ndugu zako au rafiki zako wanaweza kuwa mbele yako au wanaweza kuwa nyuma yako lakini kamwe USIWAONEE WIVU WAWAPO MBELE YAKO na pia USIWAKEBEHI UWAPO MBELE YAO maana kila mtu yupo kwe TIME ZONE yake..
Hold on, be strong, and stay true to yourself...maana all things shall work together for your good...Hujachelewa na wala Hujawahi...upo ON TIME... STAY BLESSED.
It smells like the hidden truth
 
Post hii imejaa busara nyingi ambazo ni msingi wa kuendana na maisha halisi. Watu hufikiria tu kuwa wakimaliza masomo wanapata kazi, au kwa kuwa fulani kasomea fani fulani na maisha yake mazuri basi nami nikisomea fani husika maisha yangu yatakuwa kama ya mtu husika...Kumbe kuna factors zingine zipo nje ya uwezo wetu na ni vigumu kuzichalenji...Mwisho wa siku vijana waishia kuwa na misongo ya mawazo na wengine kuhisi wamerogwa!
 
Back
Top Bottom