Kila mtu ana anachokisimamia lakini...

Kila mtu ana anachokisimamia lakini...

mda mwingine mazazi mwezio anataka kukuendesha kwa kutumia mtoto nikujiweka pembeni apambane na hari yake

Kuepuka kuendeshwa mkuu ni kuwa na msimamo. Mfano unasema maadam imeshatokea. Mimi kama baba ntatekeleza hili na hili. Hata kelele zipigwe vipi just do the right thing. Utakuja kuheshimiwa baadae tu
 
Yes, ila ifikie wakati hata kama unafanya sex na watu wengi uchague ukijua matokeo ya unachokifanya. Kubambikiwa pia ni mojawapo wa matatizo yake
si unajua ujana ni hot water,,,,,kila demu ataejipendekeza unagonga....hufikirii kuwa hizo ni mbegu halisi kabisa...utamuu tuu...so ukistukizwa imenasa ndo akili inakaa na kuwa kama kaa.....
 
si unajua ujana ni hot water,,,,,kila demu ataejipendekeza unagonga....hufikirii kuwa hizo ni mbegu halisi kabisa...utamuu tuu...so ukistukizwa imenasa ndo akili inakaa na kuwa kama kaa.....

Hahaha! Dah! Ujanaaa!

Kiukweli vitu vingine ndo tunatakiwa tusikilize stori vijiweni tuviache. Hayo mambo ya kuforce kupractise ndo matokeo yake. Mara zingine tuache tu wanawake watafute wanaume wenye hela. Sisi wengine tutawalostisha tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom