Kila mtu akale alipopeleka mboga

Kila mtu akale alipopeleka mboga

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,977
Reaction score
134,092
20210523_141807183125.jpg

Screenshot itasaidia ujumbe wangu kueleweka kwa wepesi. Hii ni kero yangu kubwa tu. Mapenzi motomoto upeleke kwingine halafu bajeti upeleke kwingine. Hii sio sawa.

Mimi kwenye hili huwa sitaki kuzunguka,ukiniomba hela lazima kuwe na exchange. Hapo ndiyo value for money ya pesa yangu itaonekana.

Nasema haya kwa sababu kuna toto humu JF limeng'ang'ania nilipeleke club likanywe bia. Nimemtaka ninunue bia aje kunywea lodge, anazinguaaaa

Kama hujaelewa sema irudiwe
 
Kuna baadhi ya wanawake hawajielewi kabisa. Yaan **** atoe kwingne halafu aje kukuomba ww pesa
 
Jamaa ametuwakilisha vizuri wanaume. Mizinga isiyokuwa na malipo huwa inatukera sana.
 
Sometimes hamjui kumvuta panya mwenye mtego mazima,ungetoa afu fanya kama uelewi ivi then siku umwombe game,kama hajakojoa sikuhiyo unagundu.Ni sawa na single mother kumcare mwanae utamla vyema na kilele atafika.Hisia Kali za mapenz nawe
 
Back
Top Bottom