Kila mtu aandike ID yake kwa kijapani

Kila mtu aandike ID yake kwa kijapani

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
haya herufi hizo hapo type ID yako kulingana na herufi hizo

A= ka, B=tu, C=mi, D= te, E= ku,
F=lu, g= ji, H=
ri, I= ki, J= zu, K= me, L= ta, M= rin,
N= to, O=
mo, P= no, Q= ke, R= shi, S= ari, T
= chi, U= do,
V= ru, W=mei, X= na, Y= fu, Z= Zi

Mtz huru---- Rinchizi ridoshido
 
Wajapani hawana herufi Z huwa wanatumia J badala yake, mfano Janjibar=Zanzibar. JAMBIA=ZAMBIA JIMBABWE=ZIMBABWE.



Kajipange upya!
 
Wazo zuri mkuu tatizo watu wavivu tu...jina langu kijapani ni; MITAKURUKUSHIMEKITOJI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom