ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,572
Usisahau kutupa na mchanguo wa gharama ya kisima kwa umwagiliaji wa ekari 2.5 na je wakulima wapi waliolengwa kwa hatua hii ya sasa,je na hao ni wakulima wa zao gani na maeneo yapi ya Tanzania?Baada ya BBT Sasa ni Kila zamu ya wakulima wadogo..
Serikali ya awamu ya 6 imeamua kutofuata Mkumbo wa ngonjela,pambio na misamiati ya miaka nenda Rudi kuhusu Kilimo Sasa inatenda Kwa vitendo..
Kila Mkulima mdogo atachimbiwa kisiama na Kufungiwa Irrigation system ya kutosha kumwagilia hekta 1 au ekari 2.5.
My Take
Maneno kidogo Vitendo zaidi ni mwendo wa kuupiga mwingi..
Nawakumbusha tuu Wazee wa DP World na Twitter mkipigwa za uzo 2025 msije kusingizia Mumeibiwa.
Rais Samia Anaendeleza kujitofautisha na wapiga makelele,kazi iendelee.
Wakulima waliobainishwa kwenye Mabonde yaliyofanyiwa uthamini Kwa Ajili ya Kilimo Cha Unwagiliaji.Usisahau kutupa na mchango wa gharama ya kisima kwa umwagiliaji wa 2.5 na je wakulima wapi waliolengwa kwa hatu hii ya sasa,je na hao ni wakulima wa zao gani na maeneo yapi ya Tanzania?
Je ni visima vya aina gani?Vya mkono au virefu vyenye uhakika kipindi chote cha mwaka.Wakulima waliobainishwa kwenye Mabonde yaliyofanyiwa uthamini Kwa Ajili ya Kilimo Cha Unwagiliaji.
Jambo jema,ila utekelezaji wake ndio tatizo,
Subirieni mradi uanze ndio muongeeJe ni visima vya aina gani?Vya mkono au virefu vyenye uhakika kipindi chote cha mwaka.
Isiwe tu ni hatua ya kutafutia kura kupelekea uchaguzi Kwani hakuta Kuwa na dhamira ya dhati katika hilo zaidi itakuwa janja janja ileile ya mbogo🤔Jambo jema,ila utekelezaji wake ndio tatizo,
Kura lazima zitafutweIsiwe tu ni hatua ya kutafutia kura kupelekea uchaguzi Kwani hakuta Kuwa na dhamira ya dhati katika hilo zaidi itakuwa janja janja ileile ya mbogo🤔
Sio kwa udanganyifu mithili ya rushwa lakini🤔Kura lazima zitafutwe
Tupo kwenye Bandari sasaBaada ya BBT Sasa ni Kila zamu ya wakulima wadogo..
Serikali ya awamu ya 6 imeamua kutofuata Mkumbo wa ngonjela,pambio na misamiati ya miaka nenda Rudi kuhusu Kilimo Sasa inatenda Kwa vitendo..
Kila Mkulima mdogo atachimbiwa kisiama na Kufungiwa Irrigation system ya kutosha kumwagilia hekta 1 au ekari 2.5.
My Take
Maneno kidogo Vitendo zaidi ni mwendo wa kuupiga mwingi..
Nawakumbusha tuu Wazee wa DP World na Twitter mkipigwa za uzo 2025 msije kusingizia Mumeibiwa.
Rais Samia Anaendeleza kujitofautisha na wapiga makelele,kazi iendelee.
Kura zinatafutwa with genuine projectsSio kwa udanganyifu mithili ya rushwa lakini🤔
50Mil kwa kila kijiji imeishia wapi?Baada ya BBT sasa ni kila zamu ya wakulima wadogo.
Serikali ya awamu ya 6 imeamua kutofuata mkumbo wa ngonjera, pambio na misamiati ya miaka nenda rudi kuhusu kilimo, sasa inatenda kwa vitendo.
Kila kkulima mdogo atachimbiwa kisiama na kufungiwa Irrigation system ya kutosha kumwagilia hekta 1 au ekari 2.5.
My Take
Maneno kidogo Vitendo zaidi ni mwendo wa kuupiga mwingi.
Nawakumbusha tu wazee wa DP World na Twitter mkipigwa za uso 2025 msije kusingizia mmmeibiwa. Rais Samia anaendeleza kujitofautisha na wapiga makelele, kazi iendelee.
====
View attachment 2677154
Serikali inaanzisha programu ya Mkulima na Kisima ambapo wakulima watachimbiwa visima na kuwekewa mtandao wa umwagiliaji wa ekari 2.5 kwa kila mkulima mdogo.
Lengo ni kuhakikisha wakulima wanakuwa na uhakika wa maji ya kumwagilia mazao yao misimu yote.
Waulize walioahidi Mimi Sina jibu la kukupa50Mil kwa kila kijiji imeishia wapi?
Tuanzie hapo kwanza.
Acha uongo zenyu,..Kuajili tu mmeshindwa ndo zije hizo Mambo,..Au ndo zile ahadi za "Mabomba yatatoa maziwa Nchi nzima"Baada ya BBT sasa ni kila zamu ya wakulima wadogo.
Serikali ya awamu ya 6 imeamua kutofuata mkumbo wa ngonjera, pambio na misamiati ya miaka nenda rudi kuhusu kilimo, sasa inatenda kwa vitendo.
Kila kkulima mdogo atachimbiwa kisiama na kufungiwa Irrigation system ya kutosha kumwagilia hekta 1 au ekari 2.5.
My Take
Maneno kidogo Vitendo zaidi ni mwendo wa kuupiga mwingi.
Nawakumbusha tu wazee wa DP World na Twitter mkipigwa za uso 2025 msije kusingizia mmmeibiwa. Rais Samia anaendeleza kujitofautisha na wapiga makelele, kazi iendelee.
====
View attachment 2677154
Serikali inaanzisha programu ya Mkulima na Kisima ambapo wakulima watachimbiwa visima na kuwekewa mtandao wa umwagiliaji wa ekari 2.5 kwa kila mkulima mdogo.
Lengo ni kuhakikisha wakulima wanakuwa na uhakika wa maji ya kumwagilia mazao yao misimu yote.
Ajira na kukuza Kilimo wapi na wapi? Wewe Kwa akili Yako mbovu unadhani bili.970 za Kilimo ni za kazi gani? Nusu yake ni Kwa Ajili ya irrigation farmingAcha uongo zenyu,..Kuajili tu mmeshindwa ndo zije hizo Mambo,..Au ndo zile ahadi za "Mabomba yatatoa maziwa Nchi nzima"
Baada ya BBT sasa ni kila zamu ya wakulima wadogo.
Serikali ya awamu ya 6 imeamua kutofuata mkumbo wa ngonjera, pambio na misamiati ya miaka nenda rudi kuhusu kilimo, sasa inatenda kwa vitendo.
Kila kkulima mdogo atachimbiwa kisiama na kufungiwa Irrigation system ya kutosha kumwagilia hekta 1 au ekari 2.5.
My Take
Maneno kidogo Vitendo zaidi ni mwendo wa kuupiga mwingi.
Nawakumbusha tu wazee wa DP World na Twitter mkipigwa za uso 2025 msije kusingizia mmmeibiwa. Rais Samia anaendeleza kujitofautisha na wapiga makelele, kazi iendelee.
====
View attachment 2677154
Serikali inaanzisha programu ya Mkulima na Kisima ambapo wakulima watachimbiwa visima na kuwekewa mtandao wa umwagiliaji wa ekari 2.5 kwa kila mkulima mdogo.
Lengo ni kuhakikisha wakulima wanakuwa na uhakika wa maji ya kumwagilia mazao yao misimu yote.
Matapeli mmeshikwa 😂😂😂Waulize walioahidi Mimi Sina jibu la kukupa