Wanaume nao!! Ngoma inaenda winga till death.. Unafanya masikhara nini.. Lazma abembeleze apo, pasi hivyo atakosa huduma mida mida
Huyo wa nyuma katoa macho ka anasoma TangazoView attachment 332719
huyu ndo kiboko ya huyu mzee
hapo alikuwa anataka mke wake am-kisswe huoni mzee kapigwa stop, haya jiulize ni nani mwingine anayeweza kumpiga stop huyo mzee
Kweli. Ubabe wa mzee unanywea kwa mama! Mama anamwambia kwa ishara:"Sitaki kusikia hayo, nyamaza"