Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,231
Waswaili wanasema kila masika na mbu wakee....!!
Wanaume tulianza kusifia shingo kama twiga.. sasaiv shingo ndefu zimebaki zakupigia chaboo...!
Tukaamia miguu kama bia.. sasaiv miguu yako kazurure.. nayo dada, hatuiongelei....
Msimu wa hipsi ukaja wenye bastora wakatambaa..
Hatujakaa vzur umbo namba nane ili hapaa paaap.. tukaimba na nyimbo tukaitupa kulee.. tukahamia mamiss mamodo. Wenye nyama robo...! Wadada wakajikondesha hatari, wanashindia maji na mkate slesi moja! Sisi tumetulia tu....
Mara haaaoh tukaja na miss bantu! Mavitu makubwaa makubwa, maboga! Matembo! Mavitu ya dunia,...... wanawake wakaanza kula kama mapepo wanenepeane!, wakakosa uwiano, mtu ananenepa mpaka ukiangalia kwambaali. Unafikiri kibanda cha M.pesa au school bus! hatukuwaangusha...
Tukaja nachuchu saa sita fastar tukazitema...
Tukaamia American boobs,, makubwaa sidilia zikaja zakubeba ziwa mpaka shingoni..
Bandika bandua hao tukaamia mizigo.,! Neema za allah..!! msambwanda.. vyura...!! Mitete meko.....!
Sasa kama una mzigo.. USIITESE NAFSI mrembo.... Relax af niamin kesho tutaamia kwengine misambwanda itabak na kazi yake yazamani t... yakukalia na kale kashughuli kengine.
tutaamia kwa wenye midomo mikubwaa

NOTE: Wanaume hatunaga tunachopenda kwa mwanamke ila kuna tunachopenda kwa wanawake,
Kipanga kaeleweka wadau
@copy&pest fromogsource