Kila la kheri UVCCM mkoa wa Dar es salaam kwenye uchaguzi wa kumpata mwenyekiti ngazi ya mkoa wa Dar

Efendi

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
302
425
Uvccm mkoa wa Dar leo wanapiga kura ya kumchagua mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar natumaini leo atachaguliwa kiongozi mwenye uweledi na uwezo wa kuwaongoza vijana wa CCM wa mkoa huu pia nawatakia kila la kheri wagombea yeyote atakayeshinda aje kusimamia misingi bora ya UVCCM.
 
Tuwekee list ya wanao wania!
 
Back
Top Bottom