Kila la kheri Simba SC, Japo kishingo upande.

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,610
Reaction score
2,275
Leo Club ya Simba SC. Wanalunyasi kama wenyewe wanavyopendakutambulishwa,itakapofika saa 1600hrs alasiri huko kwa Mzee Madiba, watakuwa na kazi moja tu, na muhimu ya kuidhihirishia Africa kuwa kwanini wao ni club no. 4 kwa ubora africa ktk rank za CAF. Na kwamba wao Simba ndio ndio kinara wa soka la Kimataifa kwa sasa hapa Tanzania, Wataingia uwanjani kwa lengo la kutaka kuvunja record ya wapinzani wao Young African SC, Mabingwa wa kihistoria wafalme wa soka la Tanzania, wachonga njia ya kufika fainali na kulikosa kombe kwa mujibu wa Sheria za caf tu, ktk mashindano hayo. Simba watataka kuvunja record hiyo ili walau wapate kupumua lakn pia watataka wachukue kabisa kombe hilo ili watambe kwa kuweka rekodi mpya kuchukua kombe hilo la pili kwa ukubwa ktk mashindano ya CAF Nchini. Hilo linawezekana na dalili zipo wazi, japo mimi binafsi sitaki hilo litokee. Kwa manufaa ya kinchi kila la heri wanalunyasi. Kwa manufaa ya kiushabiki liwatokee kila baya makolo, ndumba fc, mbeleko wahedi. Wasauz msituangushe..!!
 
Yani wachezaji hata hawajaamka tayari milio kibao
 
Utopwix
 
Hawa wajinga wanaweza kuchukua kweli kombe, sijui makomwe yetu tutaweka wapi...
 
Back
Top Bottom