Kila la kheri dar young african

Kila la kheri dar young african

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,010
Mwanzo mwisho
akuna kulala tuko nyuma yenu uongozi ,wachezaji na wabeba mabegi wotee wa yanga

kwa niaba ya uongozi wa mashabiki wa yanga hapa jamvini

nawatakia kila la kheri muwafunge wamisri naamini akuna linaloshindikana

wenzangu wanasema kila mwenye kusubiri yu pamoja na mwenyezi mungu

naamini leo mtakuwa nae baada ya mechi

all the best

wenu

mkuu basiasi

yanga kwanza jf baadae
 
Nimefarijika kupata wenzangu humu les pray tutashinda tu
 
Kila la kheri Yanga yetu tunaipenda sana. Tuko pamoja nanyi.
 
Ee Mwenyezi Mungu twaomba uwajalie wachezaji wa Yanga nguvu na maarifa ya kuwashinda hao Wamisri leo Amina.
 
Mungu tunaomba Yanga ipate kipigo cha Paka shume...Amina
Maombi yoyote yalio jaa chuki na wivu huwa hayapokelewi kwa mwenyezi mungu........
Labda kwa mashetani tu.na nguvu ya shetan haiwezi kizid nguvu ya mwenyezi mungu.
 
By statics tokea miaka ya 1980s Kandambili alivyokuwa akikutana na Al Ahly kapigwa goal 14 kwa 1 tena YeboYebo moja lenyewe kachomoa wiki iliyopita.
 
naamini wenye macho wameamini Yanga mbele nyuma aturudi

bigi apu dida na wote walioenda uko tuko nyuma yenu naamini

mwendo ule simba ikigusa loh watauza jengo lile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom