Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Conlusion; Falsafa za Amunike ni pasua kichwa! Leo tumekwisha. Huyu Himid Mao ni mtu wa nguvu nyingi kuliko akili! Ukija kwa fei toto, siku zote hana uchangamfu akiwa uwanjani! Badala ya kumpanga Erasto Nyoni pale nyuma! Beki zote fupi! unamuacha Abdi Banda kwa sababu zisizoeleweka!

Kwa namna ninavyo mfahamu Kallidou Koulibaly kwenye mipira ya kona; tutegemee goli lake moja. Uganda kwa nini mlitulegezea kwenye ile mechi ya mwisho! Angalieni golikipa wetu anavyoteseka! Sisi na mpira wapi na wapi! Sisi huku tunaweza siasa za ccm na chadema tu.
 
Mkuu mambo sio mambo tuombe turudishe au ikishindikana wasituongeze jingine
 
Tuliposema kwamba hii timu ilibebwa na Uganda kufuzu Afcon kuna watu mkawa mnatoa mapovu.Sasa ukweli utajitenga na propaganda.Just angalia Uganda ilivyoperfom,kisha angalia tunavyoperform.
 
Back
Top Bottom