Kila kundi lifanye Kazi yake Serikali Maendeleo Kwa wananchi Vyama vifanye siasa.

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Nadhani tugawane majukumu Kwa mujibu wa Sheria.Serikali Kazi yake ni kutafuta fedha, kupanga mipango ya kuleta maendeleo Na kutekeleza.Kwa hiyo Kazi ya kumletea maendeleo mwananchi ni ya Serikali.Vyama vya siasa Kazi zao kubwa in kuwahamasisha wananchi Na wanachama wao mipango ya maendeleo ya Serikali.Kwa hiyo Serikali iviache vyama vya siasa vifanye mikutano yao ya kuwahamasisha wananchi Na wanachama wao Juu ya maendeleo.
 
Back
Top Bottom