kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 289
- 411
maana ya uongo anaosema jamaa labda ni illusion, mapicha picha yaniUngeeleza kwanza nini maana ya uongo, ninachoweza eema ni kwamba death is real, everything else is relative/subje
BEGIN;1. Maisha ya Duniani ni Uongo
2. Unachowaza ni Uongo
3.Umaskini ni Uongo
4.Utajiri ni uongo
5.Furaha niuongo
6.Huzuni ni uongo
7.Tarehe na siku ni Uongo
8.Usiku na mchana ni Uongo
9.Watakao zaliwa kesho watakutana na huu uongo...hadi pale wakifa
10.Kisicho hai ndo kinaishi duniani muda mrefu zaidi...Mfano mifupa yako itakaa duniani zaidi ya miaka 1000 ila wewe unaishi maika chini ya 100 hivyo hivyo kudhani ww ni bora kuliko kisicho hai ni uongo.
11.Vitakavyo ishi milele ni vile visivyo hai..kama Maji na Miamba,hivyo ukiliona jiwe liheshimu
Ukweli ni kwamba Ubongo unatudanganya...
Kabla ya kuzaliwa hatukua kitu,hatukua chochote ndivyo itakavyo kua siku ukifa....
Utarudi katika hali ileile ya kutokuepo...
Hivyo kila kitu ni Uongo...
Ili uishi maisha marefu hapa duniani lazima usiwe na uhai.....ukaushwe au ubaki mifupa..ukiwa hai utaishi maisha mafupi ila ukifa mifupa yako itaishi maisha marefu kuliko uhai wako.
HIVYO dunia ni uongo na maisha yetu ni uongo kuna sehemu Mungu kaweka chip ambayo inatufanya tunaishi uongo...
Hivyo hapa duniani Tunaishi kwa ujasili wa uongo wakati ukweli sisi wenyewe ni uongo
Sisi na Wanyama wengine ni sawa kinacho tutofautisha ni kwamba Mungu alituumba tuje kufanya usimamizi wa dunia hivyo lazima angetupa kitu cha ziada,ambacho ni akili nyingi na Utashi...
Hivyo sisi ni wanyama Mameneja.....
If the MEANS CAN'T CHANGE THE END OF LIFE,as we are all ending the same point...... what all means of life mean then...???SO LIFE NIUONGO
1. Maisha ya Duniani ni Uongo
2. Unachowaza ni Uongo
3.Umaskini ni Uongo
4.Utajiri ni uongo
5.Furaha niuongo
6.Huzuni ni uongo
7.Tarehe na siku ni Uongo
8.Usiku na mchana ni Uongo
9.Watakao zaliwa kesho watakutana na huu uongo...hadi pale wakifa
10.Kisicho hai ndo kinaishi duniani muda mrefu zaidi...Mfano mifupa yako itakaa duniani zaidi ya miaka 1000 ila wewe unaishi maika chini ya 100 hivyo hivyo kudhani ww ni bora kuliko kisicho hai ni uongo.
11.Vitakavyo ishi milele ni vile visivyo hai..kama Maji na Miamba,hivyo ukiliona jiwe liheshimu
Ukweli ni kwamba Ubongo unatudanganya...
Kabla ya kuzaliwa hatukua kitu,hatukua chochote ndivyo itakavyo kua siku ukifa....
Utarudi katika hali ileile ya kutokuepo...
Hivyo kila kitu ni Uongo...
Ili uishi maisha marefu hapa duniani lazima usiwe na uhai.....ukaushwe au ubaki mifupa..ukiwa hai utaishi maisha mafupi ila ukifa mifupa yako itaishi maisha marefu kuliko uhai wako.
HIVYO dunia ni uongo na maisha yetu ni uongo kuna sehemu Mungu kaweka chip ambayo inatufanya tunaishi uongo...
Hivyo hapa duniani Tunaishi kwa ujasili wa uongo wakati ukweli sisi wenyewe ni uongo
Sisi na Wanyama wengine ni sawa kinacho tutofautisha ni kwamba Mungu alituumba tuje kufanya usimamizi wa dunia hivyo lazima angetupa kitu cha ziada,ambacho ni akili nyingi na Utashi...
Hivyo sisi ni wanyama Mameneja.....
If the MEANS CAN'T CHANGE THE END OF LIFE,as we are all ending at the same point...... what all means of life mean then...???SO LIFE NIUONGO
Hata huu uzi ni wa uongo1. Maisha ya Duniani ni Uongo

Kibobori ni kitoto cha Mbuzi huku UchaganiUwepo wa Mungu ni uwongo

Ukinithibitishia kwamba Mungu hayupo naachana na Dini muda huu huu.Uwepo wa Mungu ni uwongo
Wewe somo la.ZAMADAMU limekupita soma ZAMADAMU mkuuuu1. Mifupa ya wanyama huchukua miaka 20 kuisha kabisa bila kuacha athari yoyoye ile , na si miaka zaidi ya 1000 kama ulivyosema hapo juu Pia huu ni uongo.
2. Umesema ili uishi maisha marefu hapa duniani lazima usiwe na uhai , unaweza kunitajia kisicho na uhai kinachoishi "MAISHA" marefu hapa duniani? Au tuanze kwa kuelezea nini maana ya MAISHA?HUU PIA NI UONGO
Jichanganye na watu mkuu stress zipungue usipende kukaa peke yako peke yako maana watu kama nyie huwa hamkawii kujiondoa.
Kaka maisha kwa tafsiri ni ku-sustain existance au presence katika dunia...1. Mifupa ya wanyama huchukua miaka 20 kuisha kabisa bila kuacha athari yoyoye ile , na si miaka zaidi ya 1000 kama ulivyosema hapo juu Pia huu ni uongo.
2. Umesema ili uishi maisha marefu hapa duniani lazima usiwe na uhai , unaweza kunitajia kisicho na uhai kinachoishi "MAISHA" marefu hapa duniani? Au tuanze kwa kuelezea nini maana ya MAISHA?HUU PIA NI UONGO
Jichanganye na watu mkuu stress zipungue usipende kukaa peke yako peke yako maana watu kama nyie huwa hamkawii kujiondoa.
Kama haupo katika uso wa ardhi wewe ni mfu and you are nothing in the existance world ..compare to the block or stone which can make a cement or hardrock to make or build the buildings on the world1. Mifupa ya wanyama huchukua miaka 20 kuisha kabisa bila kuacha athari yoyoye ile , na si miaka zaidi ya 1000 kama ulivyosema hapo juu Pia huu ni uongo.
2. Umesema ili uishi maisha marefu hapa duniani lazima usiwe na uhai , unaweza kunitajia kisicho na uhai kinachoishi "MAISHA" marefu hapa duniani? Au tuanze kwa kuelezea nini maana ya MAISHA?HUU PIA NI UONGO
Jichanganye na watu mkuu stress zipungue usipende kukaa peke yako peke yako maana watu kama nyie huwa hamkawii kujiondoa.
Wewe ndio unatambua hili leo? Mfalme Suleiman katika kitabu cha Mhubiri miaka zaidi ya 3,000 ilopita alisha sema hili, kwamba kila kitu ni ubatiri mtupu. Soma neno la Mungu upate maarifa hakuna jipya duniani.1. Maisha ya Duniani ni Uongo