jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,988
- 1,437
Mwaka 2013 ibada zitakuwa hv: Mchungaji; Bwana asifiwe! waumini:Ameen! Mchungaji;Tuchukue laptops,iPad,tablets na sim zetu tufungue wakorintho13:13! Pia washeni bluetooth ili mpokee mahubiri.Kwa wanaotumia facebook,twitter&BBM Mnaweza kunifuatilia huko! Baadae wapendwa sasa wakati wa sadaka! Unaweza kumtolea Mungu kwa M-pesa,Airtel Money au Tigo pesa! Mbarikiwe sana! ''Chezea ulimwengu wa digital wewe!!'':israel: