Simple, Kila kitu kinacholalamikiwa do the opposite. Kwa mfano kama wananchi wanalalamika Wakenya wanapewa kazi sana, dawa yake ni kuwapa kazi WaTZ badala ya wageni unless WaTZ hawana ujuzi na kazi hiyo. Kama wananchi wanalalamika Vigogo hawafikishwi mahakamani, dawa yake ni kufikisha vigogo katika mahakama huru na yenye kutenda haki.