KJ,
Achana na Waingereza na hipocrisy yao.
From a purely African perspective, unakubali kwamba Mugabe anefanya grave atrocities? War crimes? Heinous acts bordering on genocide?
Unavyosema hapo juu inakuwa kama unaamini kuna sides mbili tu katika hii issue, Mugabe na Waingereza.Issue iko complex zaidi, kuna Wazimbabwe, kuna Mugabe na genge lake, kuna Waingereza na shoga zao wa magharibi na kuna Waafrika wa nchi nyingine.
Sasa basi, the fact that Waingereza ni wanafiki haiondoi ubaya wa Mugabe.Na si kweli kwamba kila Muafrika ambaye anataka Mugabe aondolewe anakubaliana na Waingereza.