Kikwete's nasty spat with Rwanda

Kikwete's nasty spat with Rwanda

Kauli ya Raisi kikwete kuhusu Serikali ya Rwanda kufanya mazungumzo na FDLR imeonyesha upungufu mkubwa wa raisi wetu huyu katika kuelewa matatizo ya Rwanda. Pamoja na sababu nyingine za kuandika hivi ni ukweli kwamba hata hao Wanyarwanda wenyewe ambao Kikwete anadhani anawesemea baadhi yao hawaja support kauli yake, wanyarwanda wote wamepinga kwa kauli moja kauli ya kikwete.

Kitu ambacho Kikwete anapaswa kutambua ni kwamba hakuna vita nchini Rwanda, hakuna popote ambapo vita zinaendelea nchini Rwanda na wala haijulikani leo FDLR wana mpigania nani au group ipi ya wananchi nchini Rwanda. Wanyarwanda sasa ni wamoja na wana amani na maendeleo mazuri nchini kwao na hapaswi mtu yeyote kuwarudisha nyuma.

Kauli ya Kikwete haikupata support hata pia kwenye huo mkutato wa AU na ilidharaurika tu na badala yake sasa inahatarisha ujirani mwema kati ya wananchi wa Rwanda na Tanzania hata umoja wa nchi za Afrika masharaiki.

Tunawaomba ndugu zetu wa Rwanda waelewe kuwa kauli ya Kikwete haiwawakilishi Watanzania takriban milioni 45 bali ni kauli yake binafsi aliyoitia kwa motives anazo zijua yeye kama sio ilikuwa kutafuta sifa tu katika mkutano ule bila kujua mapana ya kitu anachokiongea.

Umoja wa afrika mashariki ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa nchi zote nne na mtu mmoja kwa kauli zake cheap hawezi kuhatarisha mambo makubwa ya wananchi
 
Nani kakwambia mazungumzo yanahitajika kwenye vita tu?
 
Hapa ndipo napomumisi Koba na Jasusi sijui walikwenda wapi hawa jamaa maana ndiyo wasemaji wa Kagame Tanzania.Kusema ukweli at the end of the day when we talk about genocide and genociders we only talk one part of the the then government which was on power but we forgot that in the war there is saying goes "One does not have to graduate from a Military Academy to know that in war, the victor wins if it kills more of the enemy" so if this is the case Kagame and RPF killed more people than x-FAR but because RPF won the war then the one to be implicated were HUTU people who didint win the war and are the one to go to the ICTR in Arusha however the truth is Kagame under RPF killed more people than FAR.

So Rwanda will never ever be free until when it will be able to negotiate with FDLR because FDLR are Rwandan so I agree with my president that the government of Rwanda should immediately negotiate with FDLR and stop calling then genociders because RPF killed more people than FAR. For your own time pass through this articles What Really Happened in Rwanda? and World News Journal: The Complete and Unabridged Testimony of Lieutenant Abdul Ruzibiza.
 
Back
Top Bottom