Ndugu wafanyakazi,KIKWETE ni mwamba kwelikweli. Ona hii:"WAFANYAKAZI HATA MGOME MIAKA 8 SINA FEDHA YA KUONGEZA MSHAHARA". lakini kwa wiki 2 za kampeni katoa ahadi za TRILION 42. Wafanyakazi, hii inaingia akilini?
hii nimeipenda sasa ni kazi kwenu wafanya kazi kama mtakuwa maamuma wa kusoma alama za nyakati hii itawasaidia,
lakini kama mmefilisika mawazo na mtazamo mmekwisha, mtatumika ngazi ya kupandia tu, harafu badein mtakuwa majuto