Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,344
- 9,845
Kuna mlolongo wa malalamiko ya wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma waliobakiza muda kidogo wa utendaji kabla ya kustaafu!
Malalamiko hayo ni pamoja na kubadilishiwa wakurugenzi na kuletewa wakurugenzi wanaowanyanyasa na kuwahamishia mikoa ya mbali na familia zao,kwenye huduma duni za huduma za kijamii na gharama kubwa za maisha.
Hii linaonekana kama mbinu ya kuwakarahisha ili waache kazi mapema na hivyo kukosa mafao yao.
Naomba nikumbushe tena,hiki ni kipindi cha uchaguzi,na hawa wanaoonewa na familia zao ni wapiga kura!