Kikwete unamuogopa Mwakyembe

EAC haiendi kwa utashi wa waziri ila state yote kwa umoja wake angalia mifano ya nchi zinazotuzunguka marais wanasukuma zaid movements zao!!!
Angalia vibrancy na caliber ya wawakilishi wao!!!

Tusizunguke mbuyu!!!
Unaona sasa!! Kwahiyo EAC ndo haiendi kwa utashi wa waziri lakini Uchukuzi ndo inaenda kwa utshi wa waziri (Mwakyembe)? What are you trying to say?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…