Ukweli Kikwete alijaribu ingawa alikosoa ujasiri wa kushikilia msimamo wake.
Naamini Katili mwingine Mkapa aliingilia mchakato na kuvuruga.
Lakini baadae alipokua pandikizi lake akashindwa kumdhibuti akajuata akatamani katiba mpya ingekuwepo,akatoa hoja Chache ili zirekebishwe kwenye tume ya uchaguzi,akafa ghafla sasa hivi Yuko kuzimu na pandikizi lake Yuko kuzimu.
Wote wako kuzimu.
Hawakutuachia legacy yoyote.
Wametuachia vijitabu vya majuto tu.