Tafadhali nawaomba sana wale wenzetu ambao kazi yao humu JF ni uchochezi wa hisia za kikabila na kidini, wamsikilize mama yule, halafu wajiulize wanataka kusikia nini zaidi?
Wasikilize sauti ile na wajiulize, kama sauti ile ni ya mama, dada au shangazi yake atajisikia vipi akiwa huko aliko baada ya uchochezi usio na maana.
Jk ni mtu wa kijiweni unatarajia nini??