Kikwete njia panda

Kikwete njia panda

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
Kuna tetesi nazisikiaga kuwa kikwete na membe ni ndugu wa kuzaliwa baba mmoja mama tofauti
Sasa lowasa alishiriki kumwiingiza kikwete madarakani, na membe kaonjeshwa uwaziri wa mambo ya nje anakitaka na kiti cha ndugu yake

sasa membe ni ndugu hawezi msaliti wala kulipa kisasi wala kutafuta maovu yake ya huko nyuma kama akipewa hicho kijiti, na lowasa kila mtu anajua alimsaidia kumweeka jk madarakani sasa kikwete yuko njia panda anamoofia lowasa, anatamani ndugu yake apate hicho kiti Ili awe salama
 
masaburi aliwahi kuwaambia wabunge wanafikiri kwa kutumia ma.ka.li.o
 
Sheria ya mawasiliano iweke kifungu cha adhabu kali kwa watu wanaozuazua mambo mitandaoni!!!!
 
Mi nimeandika ni tetesi mkuu
LA kwanza ambalo sijui ni undugu wa kikwete na membe we kama hujui Tulia Kwanza hapa napaamini kwa Habari za ukweli na uwakika
 
Mi nimeandika ni tetesi mkuu
LA kwanza ambalo sijui ni undugu wa kikwete na membe we kama hujui Tulia Kwanza hapa napaamini kwa Habari za ukweli na uwakika

Habari za ukweli na uhakika kama uliyoileta
 
Back
Top Bottom