Elections 2010 Kikwete ni mtu hatari anayetaka kulisambaratisha taifa, tukae nae chonjo !

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
Anataka kulisambaratisha taifa la Tanzania hivi hivi mbele ya macho yetu kwa kukitumia chama kilichokwisha kupoteza dira na kimebakia kuwa kama pango la mafisadi. Watanzania lazima tuamke tumkatae Kikwete, tuikatae CCM na tuwakatae wote wale ambao hawana nia njema na nchi yetu tukufu.

Tanzania tunakupenda na katu hatutakubali wezi, walafi, waongo na wanafiki watuburuze kwa manufaa yao, familia zao na rafiki zao bila kujali maslahi ya taifa. Tarehe 31 Oktoba tujitokeze kwa wingi tumshinde huyu adui wetu nambari wani na tuikomboe nchi yetu, muda mwafaka umewadia.

Wao wana pesa, wazalendo wana kura.
Kula
kwa Kikwete,
kura kwa Dr. W.P. Slaa.

 
Back
Top Bottom