Chilisosi JF-Expert Member Oct 19, 2008 3,051 747 Jul 30, 2012 #21 Mie binafsi naomba ofisi kubwa wapewe mashekhe kwa sababu itakuwa rahisi sana kuwahonga, sahani ya pilau tu unapata kiwanja kujenga samora avenue
Mie binafsi naomba ofisi kubwa wapewe mashekhe kwa sababu itakuwa rahisi sana kuwahonga, sahani ya pilau tu unapata kiwanja kujenga samora avenue
Chilisosi JF-Expert Member Oct 19, 2008 3,051 747 Jul 30, 2012 #22 zomba said: Wewe ni nani aliokuzuwia wewe kwenda kuchukuwa hiyo rasilmali yako? mnaongea utumbo. Click to expand... Zomba mbona kila wakati unatokwa mapovu mdomoni?? kulikoni??? by the way,.. unaweza kunielekeza sehemu wanakouza urojo poa nikashushie futari ya mkuu??
zomba said: Wewe ni nani aliokuzuwia wewe kwenda kuchukuwa hiyo rasilmali yako? mnaongea utumbo. Click to expand... Zomba mbona kila wakati unatokwa mapovu mdomoni?? kulikoni??? by the way,.. unaweza kunielekeza sehemu wanakouza urojo poa nikashushie futari ya mkuu??