Poa mkuuu tunahitaji kujua mengi sana ya huko!Nipo hapa uwanjani (umoja), namba t437 apa, t945anz, t751anz(machinga trans)...na baadhi ya maroli yanasomba watu vibaya mno.....na sasa hivi hapo nje kuna mapikipiki na mabajaji mengi mno yanajaza mafuta kwenye hii sheli(kwa chingwile) yanaenda kumchukua jk(still watu uwanapigwa na jua tu jamaa bado hajaja-na sasa ni saa 7.15 mchana)...nishapiga picha ninazo...nitazi-update very soon. Stay tuned!!
Sasa huyo rais wa Komoro kaja kufanya nini? Au kusaidia kampeni.sasa hv ni saa saa 10 kamili jion bado watu wanapigwa na jua.....ila rais wa comoro ashapita na magari yake kwa spidi ya ajabu.....
Sasa huyo rais wa Komoro kaja kufanya nini? Au kusaidia kampeni.