Mh. Kikwete hapa amecheza kama Pele vile. Ameamua kuzima moto kilaini ili hii nguvu ya UKAWA isiendelee zaidi ya hapo. Sasa baada ya uchaguzi 2015 UKAWA ITAKUWEPO? Mchakato huu batili unaendelea mpaka 4 October 2014 bila kupiga kura then Bunge linasitishwa sijui linavunjwa tutajua siku hiyo. Then 2015 huyo rais mpya atakuja na lake likini kama marekebisho ya katiba ya 1977 yatasema wazi kuwa lazima katiba mpya ipatikane kabla ya lipindi fulani itamlazimisha rais ajae kufanya jambo hili lakini kama itakaa kimya huyo rais ataamua kufanya navyotaka yeye. WANANCHI TUMEONA NA TUNAELEWA NINI KINAFANYIKA SWALI JE TUNAJIFUNZA NINI NA JE TUNAWEZA KUCHUKUWA MAAMUZI KAMA WANANCHI KATIKA JAMBO HILI MIHIMU KWETU?