Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 593
- 1,713
Watu wameziba masikio, wanafatuna posho ya mlala hoi, nadhani hata hizi ajali ni mwenyezi Mungu anatutumia ujumbe kuwa kama nchi tuko kwenye kipindi cha makosa makubwa, tumrejee Mungu na kutenda haki.....lakini hatuoni wala kusikia.
Mungu ibariki Tanzania
hapa hakuna hata jambo la kufurahisha, hivi hao wanasiasa wote wa CCM na Upinzani hawakujua kuwa muda wa kuanda katiba hautoshi? imekuwaje leo baada ya kutumia mabilio ya walala hoi wanakuja mbele yetu na kusema muda hautoshi kuandaa katiba mpya?
wanasiasa wanatupeleka pabaya, sitaki kuamini kama hawakuujua muda hauutoshi, wanatupeleka pabaya hawa watu na sisi tumebaki kuwachekea either kwa kujua ama kutojua, nina baki na maswali mengi kichwani bila jibu.
kwa mtazamo wangu naona wanainchi TUMESHIDWA VIBAYA, na wanasiasa WAMESINDA. poleni sana wakulima serikali haina hela ya kununua mazao yenu hela imeishia bunge hewa la katiba.
Dah,kwa hiyo makosa ya bungeni ndio maskini wanateketezwa huku kwenye ajali mkuu???Watu wameziba masikio, wanafatuna posho ya mlala hoi, nadhani hata hizi ajali ni mwenyezi Mungu anatutumia ujumbe kuwa kama nchi tuko kwenye kipindi cha makosa makubwa, tumrejee Mungu na kutenda haki.....lakini hatuoni wala kusikia.
Mungu ibariki Tanzania
Hadi hapo ndo unaweza kuwa mwisho wa ukawa kwani huo mjadala wa katiba utakuwa umefungwa rasmi. Ni wakati wa kila chama kuvaa koti lake la siku zote tuone kama kuna walichovuna kupitia umoja wao wa kinafiki walokua wameunganisha.
Mpaka hapo mshindi CCM. Agenda za serikali 3 na serikali ya mkataba yenye kiti chake UN ndo imetoka hiyo labda msubiri awamu ya 5.
Ukawa hii ya bunge liendelee kujadili hadi October na kusita mpaka uchaguzi mimi sijaipenda kwanini lisisite sasaivi? kinachojadiliwa kule bungeni baadae ccm hawatataka kurudi nyuma ndio shida. bora mngeacha hayo mazungumzo tukaisubiri tu hii katiba yao kwenye kura ya maoni kuliko mlivyokubaliana.
Baada ya uchanguzi mchakato wa katiba utaendelea pale ulipoishia, ukiwa na baadhi ya sura mpya kabisa na akidi itatosha kila upande wa muungano, kwa ongezeko/ pungufu ya idadi ya wajumbe kwa pande zote mbili UKAWA au Tanzania kwanza vitaonekana dhahiri, ni kazi ya pande mbili kuchachalika kuongeza idadi ya wabunge