Kikwete na Taifa Linalotengeneza Misiba

Kikwete na Taifa Linalotengeneza Misiba

M.L.

Senior Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
185
Reaction score
120
Kikwete ni rais anayeongoza kuhudhuria misiba ya viongozi na wasanii, hatumwoni kwenye misiba ya waandishi wa habari na madaktari. Hili la Mtwara ni janga la kitaifa yeye kama mkuu wa nchi tunatarajia akomeshe mauaji haya ya uonevu na dhuruma kwa wananchi wake. Hajafanya hivyo, kutokana na recodi hatahudhuria katika misiba ya wananchi wake wa Mtwara. Kwa sababu, hawahusiki na karba hiyo.

Hatimaye, hatutarajii kwamba atahudhuria mazishi ya wahanga hao wa vurugu za Mtwara kwa kuwa wako kinyume na mipanglio ya ufisadi wa kundi lake.
 
Back
Top Bottom