'' Nyie madaktari si mna kiapo chenu kuwa mahitajio na maslahi ya mgonjwa ni kitu cha kwanza ?? Sasa imekuaje hamuwapi hao wagomjwa huduma ipasavyo mpaka mpate chochote kuotoka kwao ? hamjui kuwa hao ndio walipa kodi na ndio waajiri wenu ? na sasa mnazidi kuwatukana kwa kuomba ziada ya mishara. ebu fikirieni wenyewe manayo fanya ni mazuri ? acheni uroho na rudini kewenya kiapo chenu kwanza kabla hamjalalamika kuhusu mishahara . Haya nendeni mkafanye kazi na acheni upuuzi wenu''