Inawezekana unachoongea ni kweli kwamba hata wali sijala nina miezi! Lakini unamdanganya nani kwamba kwa ku-sign up kwenye huo upuuzi wako ndo mimi na wanangu tutakula huo mkate unaousema? Mimi nitajikwamua kwa juhudi zangu mwenyewe na siyo kuhamasika kwenye vitendo vya kihaini, tena vya mtu aliyekata tamaa ya maisha yake na sasa anataka kujiegemeza kwenye matatizo ya nchi. Tupishe kule!