Kwa nini Jk atumie clouds ambayo wala sio official radio ? Nilitegemea atumia TBC radio ya serikali kutoka Ikulu. Hivi wazee wa CCM mnakubaliana na mambo haya mnaaibishwa aibishwa tu. RAdio ya kihuni IKULU .
Amesema anafikiria mfumo mpya wa baraza la mawaziri akimaanisha inawezekana likapungua. Ur president hadi leo hajui ana mpango gani na baraza jipya endapo atashinda!! Mbona rais slaa anafahamu tayari structure yake?