Lakini kama muda unaongezwa kidogo kama miaka miwili au mitatu hivi ili kukamilisha ahadi zake na kuweka mambo ya nchi sawa sioni tatizo
Lakini kama muda unaongezwa kidogo kama miaka miwili au mitatu hivi ili kukamilisha ahadi zake na kuweka mambo ya nchi sawa sioni tatizo
Unajua ni swala la watu kuamua na kukubaliana tu jamani. Kwa mfano ikigundulika ahadi walizotoa hazijakamilika na muda ndo huu unayoyoma. Sasa wakiomba tuwasubiri kidogo wakamikishe ahadi zao kuna ubaya gani? Nchi si ipo tu? Hata kama kama wakipewa miaka mitatu ili wafanye final touches kuna shida?
KumbukiziKuruhusu huyu bwana kuendelea hata siku moja baada ya muda wake ni kukaribisha machafuko kwani mafisadi ndio watakuwa wanamalizia lala salama ya kutuibia!!
Kama itatokea Jpm akaongezewa miaka miwili au mitatu haitakuwa mbaya sanaMwenyekiti wa NLD, Dk Makaidi alisema zipo dalili na ushahidi kuwa uchaguzi ukifanyika mwaka huu CCM itang'olewa madarakani na kwa kulijua hilo, Serikali inafanya kila njia ili kuahirisha uchaguzi usifanyike mwaka huu.
"Kubadili Katiba ya sasa kwa lengo la kuahirisha uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu sio tu kutaathiri misingi muhimu ya Katiba ya sasa, bali pia kutaathiri amani ya nchi yetu. Tumeona kinachoendelea Burundi baada ya Rais Pierre Nkurunzinza na chama chake kuamua kujiongezea muda wa kutawala nchi hiyo," alisema.
"Tumeona yanayoendelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Conga (DRC) baada ya Joseph Kabila kutaka kufanya hivyo, Kikwete na wana-CCM wenzake wasitake kuiingiza nchi yetu katika majanga yasiyokuwa na sababu," alisema.
Chanzo: MCL