Izack Mwanahapa
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 497
- 236
Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM aliyeshangiliwa sana leo Bungeni wakati wa kuchangia mjadala wa mabadiliko ya katiba ni Livingston Joseph Lusinde (Mtera), Ambaye amesema kuwa serikali inakabiliwa na matumizi makubwa ya fedha katika kipindi hiki yakiwemo yale ya chaguzi za serikali za Mitaa hivyo amependekeza Rais aongezewe miaka miwili ili katiba nzuri iandaliwe lakini pia akibeza baraza la katiba na wanaharakati akisema ni vibaraka wa wafadhili.
Wabunge wa ccm wameonyesha kufurahishwa sana na hoja hii maana ameshangiliwa kupita kiasi, si ajabu amepangwa.

ila watu mnapenda mipasho bado tu mnatazama bunge labda kama mtu ushamaliza kazi zako halafu unataka kusikia mipasho hapo sawa
nyie ndo vilaza humu ndani,hamjui wakati gani mtu anaongea jambo akiwa serious na wakati gani anatania.
ila watu mnapenda mipasho bado tu mnatazama bunge labda kama mtu ushamaliza kazi zako halafu unataka kusikia mipasho hapo sawa
Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM aliyeshangiliwa sana leo Bungeni wakati wa kuchangia mjadala wa mabadiliko ya katiba ni Livingston Joseph Lusinde (Mtera), Ambaye amesema kuwa serikali inakabiliwa na matumizi makubwa ya fedha katika kipindi hiki yakiwemo yale ya chaguzi za serikali za Mitaa hivyo amependekeza Rais aongezewe miaka miwili ili katiba nzuri iandaliwe lakini pia akibeza baraza la katiba na wanaharakati akisema ni vibaraka wa wafadhili.
Wabunge wa ccm wameonyesha kufurahishwa sana na hoja hii maana ameshangiliwa kupita kiasi, si ajabu amepangwa.
Nnawasiwasi kama weye mrombo kweli, huko ambako nasikia sukari kilo sasa ni tsh 4500 kipindi hiki miaka 50 ya uhuru, yaani kama enzi zile za ujima kununua sukari na unga wa yanga maduka ya ushirika! nakama niwahuko basi weye ni fisadi mramba. WASHABIKIA NINI HAPO?
kwa hiyo watuaminisha Shoga lusinde alikuwa anatania ndani ya 15minutes za kutumia muda huu muhimu kuchangia mjadala! si akakutanie mkiwa kitandani mnapumuliana! shiit!
WANAFORUMS,
Tukumbuke enzi za utawala wa mwisho wa Mkapa pia ziliibuka hoja za uchokonozi ili aongezewe mda, zikapingwa ndanikwandani!
Katika kipindi hiki cha Jk naona ndo dalili zimenza hivyo!
Nakumbuka hata juzi wakati wa kuchangia sheria ya manunuzi huyu bwabwa lusinde alisema Jk aongezewe mda,
kwahiyo wamejipanga na sio UTANI!
The Time Will Tell