Kikwete kuhudhuria mkutano wa UKAWA

Kikwete kuhudhuria mkutano wa UKAWA

mbube

Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
26
Reaction score
9
Niwatonye

rais anatarajiwa kuhudhuria moja ya mikutano mikubwa kabisa ya ukawa hivi karibuni. Rais Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa Chama Tawala CCM, lakini pia kwa kofia nyingine ni rais wa Watanzania wote pasipo kubagua Chama Chochote.

Mipango inakamilika na hivi karibuni rais atahudhuria Mkutano mkubwa wa Ukawa pamoja na Vyama vingine vya upinzani kama barua zao za mialiko zitavyo onyesha.

msemaji wa Ikulu amethibitisha kwamba milango ya mialiko iko wazi, kama CCM huwa wanamwalika hawezi kusita kuhudhuria mikutano mingine maana yeye ni mlezi wa Vyama vyote. "msilalamike kwanini raisi anahudhuria mikutano ya CCM, kaalikwa, kwani nyie mmeleta mwaliko wowote mkakataliwa?" alisema msemaji huyo.

alamsik
 
hiyo ndio demokrasia ya kweli , yeye ndiye raisi wa nchi ana haki ya kikatiba ya kualikwa.
 
Hii ni propaganda ya kuhadaa umma na pia kuhalalisha uvunjifu wa katiba anaoufanya Kikwete wa kuzunguka kumpigia kampeni Magufuli akiwa bado ni raisi wa Watanzania nzima na sio raisi wa maCCM tu!!
 
mikutano ya UKWA na upinyani ndiyo raisi amealikwa? Ndiyo ya kina nani? mi nawajua UKAWA ila hao wengine " UPINYANI" cwajui!! Ndiyo mana raisi ataenda
 
Back
Top Bottom