Alianza na KUTENGANISHA KOFIA YA URAISI NA UENYEKITI WA CHAMA akashindwa
Akaja na KUHAKIKISHA SERIKALI HAITAWALIKI akashindwa
Akaja na KUMNG'OA WAZIRI MKUU akashindwa
Sasa amerudi na
-KUIKATAA KAMATI KUU
-KUHOJI KUTOFAA MWENYEKITI WA CHAMA
-KUFUNGULIWA KWA LOWASA TOKA KIFUNGONI
-KWA NINI WALISIMAMISHWA CHENGE NA TIBAIJUKA?
-CHAMA KINAENDESHWA KIIMLA NA SIO KIUTARATIBU.
Katika mkakati huu wa sasa, kumekuwapo na vikao vingi na matumizi makubwa ya PESA.
Tofauti na ilivyozoeleka, safari hii MTOTO HATUMWI SOKONI. PESA na MIKAKATI inafanywa na ROSTAM mwenyewe na wapambe BASHE, SERUKAMBA, SOFIA SIMBA, ZUNGU NA MTEMVU wakisaidia kuongea na wajumbe.
wajumbe wanalala Hotel mbalimbali ikiwemo DURBAN HOTEL, DOUBLE VIEW, WANYAMA, JOHANESBURG ziliko Sinza na
Vikao vinafanyika nyumbani kwa Karamagi Mikocheni Arcade na Kwa ROSTAM oysterbay nyuma ya Ofisi za Shivacom.
Wajumbe wanawekwa Vyumba tofauti Kimikoa na Katika kila chumba wajumbe wanazungumza na wapambe hao wa mgombea na kupewa maneno ya Matumaini pamoja na Chakula huku mratibu mkuu Bwana Rostam akipita kila Chumba kukagua zoezi linavyoendelea.
Wajumbe wa Nec ambao wamepewa Kazi ya kwenda kuanzisha hoja hizo ndani ya Kikao cha Nec ni Maganga Kampala toka Katavi,kilumbe Ng'enda wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba toka Bunge,Dalali Shibiriti toka Misungwi,Kisauji toka Tanga Mjini, Machano toka Mjini Unguja, Juma Kheri toka Magharibi Unguja, Khamisi Mngeja toka Shinyanga, Mghana Msindai toka Singida,Aaron toka Maswa,Mnec wa Buhigwe, Mnec wa Kwimba na wengineo ambao majina nimeyasahau.
Mfano Majuzi wajumbe wa Nec toka mikoa ya Tanga, Pwani, Singida, na Tabora walikwenda nyumbani kwa Rostam na wale wanaotokea Kagera, Mara, Simiyu na Kigoma walikwenda kwa Karamagi.Zoezi hili endelevu lililoanza Rasmi Tarehe 1May linataraji kwisha tarehe 11 May.
KatikaMakusanyiko hayo Wajumbe wa Nec wamekuwa wanapewa mawaidha hayo na wanatakiwa waende kuhoji kikaoni.Mwisho wanapewa Shilingi Milioni 2 na Milioni 3 watapewa Dodoma baada ya Kikao kwisha.
Mikoa ambayo inekwisha fanyiwa kazi hadi sasa ni Mwanza wakiongozwa na Shibiriti na aliyefahamika kwa jina la Aaron toka Maswa,Simiyu.Shinyanga, Kigoma,Mbeya,Katavi na mengine ambayo inetajwa juu wacha mbali Mikoa ya Zanzibar na Pemba.