Ujengelele
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 1,253
- 22
Inanikumbusha ya nyerere '95 pale moshi uwanja wa mashujaa wakati anamnadi mkapa kwa wachaga wa nccr
Ee mungu utende kama maombi ya wana wako yalivyo. Tumeonewa sana bwana, wevi wameiba mali zetu watanzania, nawe ulimwahidi nabii habakuki kuwa utamlinda kama mboni ya jicho lako kwa kuwa anatenda yaliyo mema toka kwako.
Amen.
Watu wamechoka CCM hawaamini kuwa mwisho wao umefika ya Zambia Malawi Kenya mwaka huu yanatokea Tanzania.
Basi kama unadhani mimi ndiye namwaga uongo nadhani wewe ndiye mwongo maana nina hakika kitu nasema na kwa akili timamu.
Cha ajabu ni kipi wakati mimi nilikuwa mwana sisi m zamani kama wewe? Wewe leo ni garasha tu. Sikiliza dogo wakati wa kura za maoni ndani ya lichama lenu, kuna mgombea alipata zero votes na huku alikuwa na mawakala kwenye vituo hivyo hivyo. Unadhani nini kilitokea?
Kaa na ujinga wako unadhani kila kitu masihala. Kudadadeki.
LABDA tuanze kufanya utafiti wa Msajili w vyama vya siasa wa kuwa Upinzani utapata viti mia moja mwaka huu lets see if Opposition scoop 27 seats in Zanzibar and how many in Mainland.
Bukombe, Kigoma mjini, jimbo la Zitto, Ndesamburo, Ubungo, may be one more for Kibaha Chadema), one more Mbeya , two More Arusha . Moshi TLP or Chadema and chadema two seats in Bukoba
Tarime two seats. Bariadi area one seat. Kusini two seats lets put this list together so we can see the ppower of opposition in Tanzania
hahaaaa i cant wait to vote for Dr.Slaa on 31st October....Kama hii ni kweli basi JK jumba bovu linamuangukia sasa hivi
Nna uhakika watu wengi sana wenye akili timamu ndani ya CCM hawatampa kura Kikwete.
Itakuwa raha sana kama Slaa na CHADEMA wataweza kuwaondoa chama filisi cha mafisadi madarakani. Watanzania duniani kote tutajawa na furaha kubwa sana itakuwa ni sawa na furaha ya kupata uhuru tena kama tulivyofurahia December 9, 1961 au kama fuaraha iliyoonyeshwa na majirani zetu Wakenya baada ya kupata katiba mpya. Watakaohuzunika ni wale mafisadi na watetetezi wao akina Malaria sugu, Tandale sokoni anajiita Tandale one na mapandikizi wengine maffisadi hapa jukwaani akina Rostam Aziz alias Raj Patel. Huu moto wa kumzomea Kikwete utambae nchi nzima ili kila anapotia mguu mapokezi yake yawe ni kuzomewa kwa nguvu zote.
Isipokuwa wenye akili kama za akina Dadakuona, Kibunango, MS, Mtu wa Pwani, Patel JR, Mgonjwa Ukimwi, Karanga, Kadogoo...................!!!!
..
Njiwa
nostradamus
tandalemagharibi
etc