Elections 2010 Kikwete azomewa Bukombe!

Itakuwa raha sana kama Slaa na CHADEMA wataweza kuwaondoa chama filisi cha mafisadi madarakani. Watanzania duniani kote tutajawa na furaha kubwa sana itakuwa ni sawa na furaha ya kupata uhuru tena kama tulivyofurahia December 9, 1961 au kama fuaraha iliyoonyeshwa na majirani zetu Wakenya baada ya kupata katiba mpya. Watakaohuzunika ni wale mafisadi na watetetezi wao akina Malaria sugu, Tandale sokoni anajiita Tandale one na mapandikizi wengine maffisadi hapa jukwaani akina Rostam Aziz alias Raj Patel. Huu moto wa kumzomea Kikwete utambae nchi nzima ili kila anapotia mguu mapokezi yake yawe ni kuzomewa kwa nguvu zote.
 
The thread has made me happy and gave more power kuendelea kuhubiri mapambano dhidi ya ukoloni mamboleo.
 
Ee mungu utende kama maombi ya wana wako yalivyo. Tumeonewa sana bwana, wevi wameiba mali zetu watanzania, nawe ulimwahidi nabii habakuki kuwa utamlinda kama mboni ya jicho lako kwa kuwa anatenda yaliyo mema toka kwako.
Amen.

Ewe shinyanga uliyebeba utajiri wa nchi hatimaye kina Prof.KK.KAHIGI wa bukombe , John Magelle shibuda wa Maswa Maswa magharibi, Kasulumbayi wa maswa mashariki, ERASTO TUMBO WA KISESA, bila kumsahau Mkongwe john Mamose Cheyo hao ni wachache tu, wamejitosa kuokoa utajiri huu.Dr.Slaaa Jemedali wao akiongoza jahazi mwaka huu migodi ya Watanganyika ya Buzwagi, Bulyankulu na MWADUI mkoani SHY inarudi mikononi mwa watanganyika.
Kikwete atazomewa sana shinyanga tena, huyo harudi tena shinyanga amepata alichopanda na MAFISADI WAKE
 
Nadhani watu sasa wanaanza kuamka usingizini.. Jana nimeongea na watu kwenye vijiji vya Sengerema na Busanda, wote wanaonekana kutokuwa na imani kabisa na JK (hata wale wa Sengerema ambao hakuna mgombea wa Chadema lakini wanamsubiri Slaa iliwaamue kumpa).
Kule Busanda ndo kabisaaa hawamtaki, kijana Finias naona anafanya kazi yake vizuri.
Kuna mchangiaji mmoja alitoa mapendekezo ya namna ya kujipanga kwenye majimbo ambapo Chadema hakikusimamisha wagombea nadhani akina Marando na viongozi wengine ambao hawagombei wanatakiwa waende kupiga kambi kwenye majimbo haya watu wanashauku kubwa kumsikia Dr wa ukweli (Slaa).
 
Watanzania wanatekeleza ushauri wa Nyerere kuwa ukiona JITU kubwa linafanya mambo ya kijinga-jinga halafu ni mbabe, dawa yake ni KUMZOMEA TU!

hii zomea zomea itawafanya wanaccm wazinduke na kuinyima kura chama chao.
CCM itaambulia kura za wajumbe wa nec na mwenyekiti wa kampeni tu. naamini hata JK naye anaweza kumpigia kura Dr. Saa kwa kuwa anamkubali kiukweli.
 
Basi kama unadhani mimi ndiye namwaga uongo nadhani wewe ndiye mwongo maana nina hakika kitu nasema na kwa akili timamu.

Cha ajabu ni kipi wakati mimi nilikuwa mwana sisi m zamani kama wewe? Wewe leo ni garasha tu. Sikiliza dogo wakati wa kura za maoni ndani ya lichama lenu, kuna mgombea alipata zero votes na huku alikuwa na mawakala kwenye vituo hivyo hivyo. Unadhani nini kilitokea?

Kaa na ujinga wako unadhani kila kitu masihala. Kudadadeki.

Teh teh teh. Mbona unajishuku? Mijizi na mijambazi utaijua tu. Inakurupuka yenyewe. :becky: :becky: :becky:
 
LABDA tuanze kufanya utafiti wa Msajili w vyama vya siasa wa kuwa Upinzani utapata viti mia moja mwaka huu lets see if Opposition scoop 27 seats in Zanzibar and how many in Mainland.
Bukombe, Kigoma mjini, jimbo la Zitto, Ndesamburo, Ubungo, may be one more for Kibaha Chadema), one more Mbeya , two More Arusha . Moshi TLP or Chadema and chadema two seats in Bukoba
Tarime two seats. Bariadi area one seat. Kusini two seats lets put this list together so we can see the ppower of opposition in Tanzania

You are underestimating Tanzanians, I can see!!

Mimi nadhani inabidi tufike mahali tuweke utaifa mbele badala ya kushabikia chama ama uongozi ili hali hata mtoto mdogo anaona kwamba hali ni mbaya. Na wananchi na hata watoto wadogo wanaweza kutetea na kudai haki zao hata kusipokuwa na wawakilishi wa kutosha kutoka upinzani. Ndugu yangu wewe haya yote huyaoni unatuletea ushabiki kwamba upinzani hawawezi wakapata viti vya kutosha as if kilicho muhimu zaidi ni ushindi wa vyama vya siasa kuliko mustakabali wa taifa letu na wananchi wake.
 
You are not serious.We need changes whether upinzani au CCM,but in the case of president we need DR.SLAAA no more.Wabunge wawe wengi CCM au la,itajulikana mbele ya safari tukishalikomboa taifa.
 
hahaaaa i cant wait to vote for Dr.Slaa on 31st October....Kama hii ni kweli basi JK jumba bovu linamuangukia sasa hivi

Nna uhakika watu wengi sana wenye akili timamu ndani ya CCM hawatampa kura Kikwete.
 
Nna uhakika watu wengi sana wenye akili timamu ndani ya CCM hawatampa kura Kikwete.

Isipokuwa wenye akili kama za akina Dadakuona, Kibunango, MS, Mtu wa Pwani, Patel JR, Mgonjwa Ukimwi, Karanga, Kadogoo...................!!!!
 
Nimefurahishwa sana na vuguvugu hili la kimapinduzi. Naamini mwisho wa utawala dhalimu wa CCM hatimaye sasa umefika. Wanatumia kila mbinu, zikiwemo za kichawi, kuweka mambo sawa lakini Mungu daima anakuwa upande wa wenye haki.
 
Itakuwa raha sana kama Slaa na CHADEMA wataweza kuwaondoa chama filisi cha mafisadi madarakani. Watanzania duniani kote tutajawa na furaha kubwa sana itakuwa ni sawa na furaha ya kupata uhuru tena kama tulivyofurahia December 9, 1961 au kama fuaraha iliyoonyeshwa na majirani zetu Wakenya baada ya kupata katiba mpya. Watakaohuzunika ni wale mafisadi na watetetezi wao akina Malaria sugu, Tandale sokoni anajiita Tandale one na mapandikizi wengine maffisadi hapa jukwaani akina Rostam Aziz alias Raj Patel. Huu moto wa kumzomea Kikwete utambae nchi nzima ili kila anapotia mguu mapokezi yake yawe ni kuzomewa kwa nguvu zote.

He! Asiseee.... msihofu wakuu mimi sianguki baada ya maneno haya... tehe teh tehe eeee..........

Are you sure?
 
Back
Top Bottom