zanzibar ni nchi sasa naamini!
mkuu hata mimi inanishangaza raisi wa jamhuri ya muungano anatoa rambirambi, wakati yeye ni mfiwa pia, tena usikute asilimia 30ni wazanzibar na 70% ni watanganyika waliopoteza maisha kwanini atoe rambirambi!?
Sijui nani ataniambia vizuri kuhusu huu muungano mimi nimeukuta tuu na sasa unanichanganya! Ninachojua mimi serilaki ya zanzibar ni subset ya serikali ya tanzania!
Au ndo udhaifu mnyika aliyousema huu!?
kwakuwa ajali imetokea zanzibar ndio maana ametoa rambi rambi.
Anajua kinachoendelea juu ya ajali hizi
mi naona ni udhaifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania.....Je Kibaki leo atatuma salamu za rambi rambi kwa shein?mkuu hata mimi inanishangaza raisi wa jamhuri ya muungano anatoa rambirambi, wakati yeye ni mfiwa pia, tena usikute asilimia 30ni wazanzibar na 70% ni watanganyika waliopoteza maisha kwanini atoe rambirambi!?
Sijui nani ataniambia vizuri kuhusu huu muungano mimi nimeukuta tuu na sasa unanichanganya! Ninachojua mimi serilaki ya zanzibar ni subset ya serikali ya tanzania!
Au ndo udhaifu mnyika aliyousema huu!?
bado miliki hajajulikana, hivyo serikali imeviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia suala hili.....kwa kushirikiana na sumatra na lile shirika la zanzibar, wakati huo huo bunge nalo kwa kushirikiana na baraza la wawakilishi litaunda tume kufuatilia jambo hilo ili lisijirudie tenaaaaaaaaaaa.
hivi wamekufa wangapi? 12? 31?
Hivi kweli Mamlaka ya Hali ya hewa walishindwa kutabiri mawimbi baharini kiasi cha kutoa tahadhari kwa wasafiri watarajiwa??
Pili wanapodai kuwa idadi ya watoto waliofariki ni 31 namba hiyo wameitoa wapi? Mimi MwanajamiiOne nina watoto mapacha wadogo chini ya miaka miwili, ninamtuma kaka yangu/ mume wangu akanikatie tiket, ananikatia tiketi ya mtu mzima mmoja (watoto wa umri huo hawakati tiketi). Idadi ya watoto wanaijuaje wakati the only thing/record waliyo nayo ni idadi ya tickets walizouza (ambayo haionyeshi kama nimesafiri na watoto wangapi)?
Afu sasa hivi Serikali inasema inatoa Boat ambayo wenye ndugu wanaotaka kwenda kukagua na kutambua miili ya ndugu zao wanalipia!!!
Nyie serikali ni ........................................ kabisa.
Wahusika kuanzia waziri mpaka mkurugenzi wa Sumatra mnatakiwa mjiuzuru kabisa.....................................