Naomba mwenye kukumbuka ile thread tuliyozungumzia mkutano wa Geldof na Kikwete na ile video clip ya Geldof akimsuta Kikwete aiweke hapa kisha Mods futeni thread ikimalizika.
Mkuu icheki hiyo video hadi dakika ya 42 kuendelea ndo utamsikia vizuri sir bob geldof akimtolea uvivu JK.. BTW majibu ya mgombea huyu wakati huo akiwa rais ilikuwa very weak, he was stammering and repeating himself... Lkn tulishasema since 2005 he was the weakest link and now he has to leave Good Bye!
Mchungaji umenikumbusha mbali sana, kwa mtu anayejitolea muda wake, fedha zake na nguvu zake nyingi kusaidia nchi zinazoendelea Sir Bob huwa hana muda na maneno matupu na huwa anatema cheche hapo hapo. Haogopi mtu yule. He can smell bullshit from a mile off
Huko ni mbali sana. Hatuhitaji maelekezo ya wa kuja yeyote kwani JK mcheza disko maarufu tunamjua vyema na D-Day tunamrudisha kwao Bagamoyo. Huko ndiko kunamstahili hakuna mahali pengine.
Naomba mwenye kukumbuka ile thread tuliyozungumzia mkutano wa Geldof na Kikwete na ile video clip ya Geldof akimsuta Kikwete aiweke hapa kisha Mods futeni thread ikimalizika.
You know what, if I was opposition, this video clip and one of Kikwete stating he did not know why Tanzania is poor, I could have used it daily in Tanzania media to show Watanzania how disconected Kikwete is from Tanzania!