Kikwete anapojisifu kupandisha mapato kutoka 177bn mpaka 900 bn

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
nimemsikiliza kikwete alipokua akifanya usafi 9/12/2015 anajisifu anasema alipandisha mapata toka 177 bilioni mwaka 2005 alipoingia hadi 900 bilioni mwaka 2015 alipotoka, ila ukiangalia ndani ya miaka hiyo 10 mfumuko wa bei ni karibia marala 10, sasa hivi "real value" ya mapato hapo imepanda au imeshuka,?
 
Halafu hizo hela zikaenda wapi au alifanyia nini kama sio ufisadi na kulipia safari zake zisizo na tija kwa Taifa.
 
Kuna kitu watu wameshindwa kukijua, serikali inakusanya ushuru hasa wa bidhaa kutoka nje kwa kutumia foreign exchange rates, kwa hiyo kuporomoka kwa shiling kunalifanya pao kuwa kubwa, Lakini actual results ni kwamba pato ni dogo
 
anachokisema jk ananikumbusha baadhi ya watu hasa walevi huwa wanakua na mbinu nyingi sana ya kutafuta hela hasa wakijikuta hata ya kunywea pombe mfukoni haipo
 
nimemsikiliza kikwete alipokua akifanya usafi 9/12/2015 anajisifu anasema alipandisha mapata toka 177 bilioni mwaka 2005 alipoingia hadi 900 bilioni mwaka 2015 alipotoka, ila ukiangalia ndani ya miaka hiyo 10 mfumuko wa bei ni karibia marala 10, sasa hivi "real value" ya mapato hapo imepanda au imeshuka,?

Hakuna mkakati wowote positive alioanzisha ili kukuza mapato,vitu vingine vinatokea naturally katika human race,juhudi zetu zinapoongezeka kutafuta maisha ndio hapo serikali nayo ikapata hayo mapato kiduchu tena asilimia kubwa ni kutoka kwa wanyonge na waajiriwa.Kwa matajiri wangependa mkwere awe Rais daima ili waendelee kukwepa kodi na kujilimbikizia mali bila woga,JK IS TOTAL SHAME,WORST PRESIDENT IN HISTORY
 
KWELI, ILA JAMAA UKIMSIKIA AKITOA TAKWIMU ZAKE UNAWEZA UKAMWAMINI
 
Motive behind this ni nini....!!? Kaona hakuna anayemsifia kaamua kujisifia mwenyewe siyo!!?

JK kishaona vumbi analotimuliwa ndiyo maana anajaribu kujipukuta ili aonekane kuwa kuna kitu alikifanya!!
 
kama Tanzania tungekuwa na utamaduni wa kuchonga sanamu na kuipiga mawe na kuichoma moto kama uingereza wanavyofanya kwa public figure anapokuwa failure basi kwa bongo ningependekeza Jk.
 
Last edited:
Hakuna mkakati wowote positive alioanzisha ili kukuza mapato,vitu vingine vinatokea naturally katika human race,juhudi zetu zinapoongezeka kutafuta maisha ndio hapo serikali nayo ikapata hayo mapato kiduchu tena asilimia kubwa ni kutoka kwa wanyonge na waajiriwa.Kwa matajiri wangependa mkwere awe Rais daima ili waendelee kukwepa kodi na kujilimbikizia mali bila woga,JK IS TOTAL SHAME,WORST PRESIDENT IN HISTORY
He is actually a sucker... Fool
 
MIMI NAONA MAPATO KUONGEZEKA IMETOKANA NA MFUMUKO WA BEI PAMO JA NA POULATION GROWTH, NA BIASHARA NYIGI KUCHIPUA, ILA JUHUDI BINAFSI ZA SERIKALI KU-PUSH MAPATO YAONGEZEKE HAZIKUWEPO, ANGEKUA ANA PUSH TUNGEFIKIA HATA ZAIDI YA MARA 10 YA MAPATO YA 2005
 
Back
Top Bottom