Kikwete anamwogopa Sitta?

Vizuri hajakubaliana na unazi dhahiri wa serikali ya ccm.
 
 
kukosoa kivipi? yeye nadhani kaboresha kusema hata kama watu wahamiswe basi haki za binadamu zifatwe! mimi mwenyewe naunga mkono zoezi tena sana tulizidi kukabwa njiani kahama kwenda bukoba ila watu wapewe heshima
 
Kikwete alikosea sana. yeye ni raisi, lazima aache kuchukua hatua za kibaguzi na kukiuka haki za binadamu, Sitta ni mwanasheria, anajua anachokisema, Kikwete ni mchumi hajui sharia na haki za binadamu. Ame-commit crime ya ethnic cleansing, nadhani Kikwete anastahili kupelekwa the Hague! Kutenganisha familia, kuendesha dhuruma, kuwangoa watu kwenye mali zao, kuwaita majina ya kudhalilisha ya wahamiaji haramu. God listen to the cries of vicitms of Kikwete!
 

hahahaa..kakangu mbona unirushia tuhuma nzito nzito hivo.....haya mambo ya uharam na uhalali yatatukosanisha ndugu ..tuwe makini.....za siku lakini kaka mkirua


 
Fuatilia News aka Habari
Rais Kikwete amesema hana shida na tatizo na wote wanaopinga Sera za Serikali yake au Yeye Binafsi, kinachomkera ni wale wanaochochea aka wachochezi na wavunjifu wa Amani.
Mengine yooote ni RUKSA. Heeeeheeeee, Kazi Tunayo.



 

Ya nini kutafuta sumu ya panya kwa anaejitowa muhanga? JK hataki kuambiwa yy ndio sababu ya kifo cha huyu mzee anaekimbilia ukingoni mwa mlima kwa kutaka watu wamuone.
 
Nakubaliana nawe, collective responsibility katika Baraza la Mawaziri ni paramount kwa serikali inayoongoza nchi. Ukiwamo ndani ya baraza hili ima mulipinge pamoja ndani ya vikao lakini kinachoamuliwa baada ya hapo ni lazima kila waziri awe pamoja na maamuzi ndio ministerial code of conduct inavyowajibisha. huwezi kuwa na serikali inayopingana yenyewe kwa yyenyewe hadharani hio pekee ni kuiweka serikali katika udhaifu. Kama ni kweli kalikosoa zowezi hadharani lilioamriwa na bosi wake na obvious litakuwa limepita katika Baraza la Mawaziri basi ima ajiondoe mwenyewe au mkuu wa nchi azingatie tena faida ya uteuzi wake uunless suala lenyewe likiwa limepewa Baraka za serikali za kutofungama kwa kauli moja kama pale ndani vikao vya bunge kunapotokea kura ambayo serikali ikatoa ruhusa ya uhuru kwa baraza la mawaziri kuwa na msimamo binafsi kwa wanachama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…