Kikwete anamfahamu Al Adawi!


Hata mimi nashangaa! Huyo huyo Al Adawi alikana kuimiliki Dowans wakati alipohojiwa na M.M.Mwanakijiji lakini majuzi amekuja anasema yeye ndiye mmiliki wa Dowans na waandishi wa habari hawamuulizi! Why?
 
I see peoples' inteligence on the originator of this thread...I belive the truth will get us free. AM DISAPOINTED WITH THE CURRENT OCCUPANT OF MAGOGONI
 
Ule ni mchezo wa kuigiza tuuu hawana lolote ridhiwan kikwete tanzania sio nch ya kifalme tuntkuangalia tu unavyo jiusisha na serikali hakika uwez kuwa rais wa tanzania jipange sehem nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…