Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Kikwete Jakaya Mrisho - Mwenyekiti wa CCM Taifa - ambaye Chama chake kinashiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar anadai kuwa CCM imesikitishwa na kufutwa kwa Uchaguzi halali wa Zanzibar. Kikwete hakuwai kulaani kitendo cha ZEC kuitisha Uchaguzi mpya.