Kikwete amtosa John Mwankenja, aamua kumlilia Sheikh aliyempa majini ya kumlinda

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Sijasikia salamu za rambirambi za JK kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe (CCM) Ndugu John Mwankenja. Taarifa ni kwamba huyu Mwankenja ameuliwa jina usiku wakati Sheikh kafariki leo asubuhi. Ni formula gani inatumika kutoa salamu za rambirambi? walio karibu na JK waangalie hili, not a good impression kwa rais. Hata akitoa salamu hizo sasa hivi ukweli ni kwamba inakuwaje amerukia msiba wa asubuhi akaacha wa jana usiku, huku marehemu wote walikuwa kwenye group moja i.e ccm? Je kwakuwa yahaya alikuwa mlinzi kivuli wake?
 
Uchawi kwanza, kwani huo ndio mpango mzima kwa CCM, yaani wewe hujui tu?
 
khaa! mkuu wa kaya?????? mbona kufanya madudu kwake ameshazoeleka! isitoshe majini nayo yanamchanganya
 
Kadata, nadhani kamsahau yule mwenyekiti wa propaganda i.e wazee wa dsm.
Pia bila kufanya hivyo anaweza asirudi 'salama'
 
Acha uchochezi kijana, sheikh yahaya ni mtu maarufu kwa ukanda wa Afrika.. Na kama hujui tafuta kitabu hiki ''THE BACKSIDE OF NYERERE" by Ludovic Mwijage" utamjua yahaya ni nani ktk Nchi hii. Acheni kurupuka.
 
Kadata, nadhani kamsahau yule mwenyekiti wa propaganda i.e wazee wa dsm.
Pia bila kufanya hivyo anaweza asirudi 'salama'

hahaaaaaaa.yaaani JK angekuwa anapita humu JF walah ange resign...hivi kwa nini anashindwa kuwa kama yule boss wa IMF??? kidogo tu kapiga nyama chini ...sasa kazi kwa JK hata mumzomeee ye yumo tu ..khaaaa
 
yaani natamani JK angekuwa rais wa marekani ...hivi angeweza kweli huyu....maana wangempiga mitama live hadharani maana anaudhi sana ....
 
Acha uchochezi kijana, sheikh yahaya ni mtu maarufu kwa ukanda wa Afrika.. Na kama hujui tafuta kitabu hiki ''THE BACKSIDE OF NYERERE" by Ludovic Mwijage" utamjua yahaya ni nani ktk Nchi hii. Acheni kurupuka.
<br />
<br />
Acha kutudanganya kwa kufikiri umaarufu wa mtu ni kwenye vitabu tu! Ila kwwa upande mwingine naweza kukukubali kuwa alikuwa maarufu kwa maovu! Hasa mashekhtwain!
Mimi nafikiri kila mtu ana umaarufu wake hata wa kijinga,
ila wa Yahya ni aibu kwa Taifa lenye wasomi na wacha Mungu!
 
Habari za cku nyingi wana Jf!naomba kuuliza walio kuwa karibu na mtabiri, hivi alijua kuwa mauti yange mkuta mda ule!? Kwanin hakuonyeshwa kifo chake wakati vya wengine alidai kuonyeshwa?
 
kikwete hakujua kachanganyikiwa namsiba,mwacheni ****** jamaniiiiiiiiiiii' hata NYANGWINE HAJAPEWA HAHAHAH KAZI IPOOOOOO
 
Acha uchochezi kijana, sheikh yahaya ni mtu maarufu kwa ukanda wa Afrika.. Na kama hujui tafuta kitabu hiki ''THE BACKSIDE OF NYERERE" by Ludovic Mwijage" utamjua yahaya ni nani ktk Nchi hii. Acheni kurupuka.

Mmmm mtu maarufu,wapi? na umaarufu hupi? walamri.? uganga.? labda kwa wale waumini wa majini.? na wale wanaotegemee imani hiyo ya majini.?Au magazeti ya udaku.?
 
Wakati wa Jk kuanguka jukwaani sasa unawadia tena,Nakumbuka sheikhe aliahiidi kumlinda kwa majini ili asidondoke tena.
 
Acha uchochezi kijana, sheikh yahaya ni mtu maarufu kwa ukanda wa Afrika.. Na kama hujui tafuta kitabu hiki ''THE BACKSIDE OF NYERERE" by Ludovic Mwijage" utamjua yahaya ni nani ktk Nchi hii. Acheni kurupuka.

kwani alikuwa nani zaidi ya mfuga majini na muuza nyota za watu ?????????
 
Kikwete kapagawa kwani nae anahofia kufa baada ya mlinzi wake wa majini kujifia................anaangalia kwa kupata tena majini mengine ilio asije akaanguka tena majukwaani.....
 
Back
Top Bottom