thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Mwizi yuko anaedit report ya cag SAA hiziMajizi na matepeli wote ambao walizoea pesa za deal kipindi hiki mtakielewa vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpiga dili amebaki mwenyewe na mpwa wake tuu, na ndio maana hamtaki Assad maana anamuumbua wakati mbulula kama wewe mnamuaminiMajizi na matepeli wote ambao walizoea pesa za deal kipindi hiki mtakielewa vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kua JK alikua na madhaifu yake lakini huyu baba alibadili maisha ya watu, aliwafanya watu waishi kwa raha, aliwafanya watu wawe na amani ndani ya nchi zao. Watu hawakubaguana kwa itikadi zao za vyama tofauti na hivi sasa.JK aliwafanya wafanyakazi waishi kwa raha, aliyekua na elimu aliifurahia elimu yake, kila mtu alipata kutokana na upambanaji wake tofauti na hivi sasa ambapo tunakazimishwa tuishi sawa kitu ambacho hakiwezekani.
Hivi sasa watu wanalazimishwa waishi kama mashetani, wanaambiwa wanyooshwe ili utawala huu ukiondoka waishi kwa raha,hii inamaanisha mateso haya ni kama ya makusudi. Unakubali vipi binadmu wenzio wateseke? Unakubali vipi wenzio waumie kama wewe ni binadamu pia? Hii sio sawa na wala haikubaliki hata mbinguni.
Enzi za JK watumishi walipandishiwa mishahara, kila mtu alivuna kwa uwezo wake,wafanyabiashara walifurahia biashara zao,wanasiasa walifurahia siasa zao,bidhaa za ujenzi ziliuzwa nafuu kabisa na kila mwananchi aliyejiweza alijenga nyumba yake lakini hivi sasa ni wachache sana wanaojenda hasa watumishi wa uma.
Tuoneane huruma,sote tu wanadam. Huwezi kufurahia wakati mwenzako wa damu anaumia hata Mungu hapendi.
Kabisa hizo Mbululazi hazijitambui kabisa kiuhalisia mambo sio yenyewe awamu hiiMpiga dili amebaki mwenyewe na mpwa wake tuu, na ndio maana hamtaki Assad maana anamuumbua wakati mbulula kama wewe mnamuamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila zama na kitabu chake kwa wakati huo inawezekana ni kweli hata huyu akitoka watasema tuu kwahiyo hizi ni nyakati tuuMlisema dhaifu sana,nae alisema mtanikumbuka,asante kwa kutoa ushuhuda
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kua JK alikua na madhaifu yake lakini huyu baba alibadili maisha ya watu, aliwafanya watu waishi kwa raha, aliwafanya watu wawe na amani ndani ya nchi zao. Watu hawakubaguana kwa itikadi zao za vyama tofauti na hivi sasa.JK aliwafanya wafanyakazi waishi kwa raha, aliyekua na elimu aliifurahia elimu yake, kila mtu alipata kutokana na upambanaji wake tofauti na hivi sasa ambapo tunakazimishwa tuishi sawa kitu ambacho hakiwezekani.
Hivi sasa watu wanalazimishwa waishi kama mashetani, wanaambiwa wanyooshwe ili utawala huu ukiondoka waishi kwa raha,hii inamaanisha mateso haya ni kama ya makusudi. Unakubali vipi binadmu wenzio wateseke? Unakubali vipi wenzio waumie kama wewe ni binadamu pia? Hii sio sawa na wala haikubaliki hata mbinguni.
Enzi za JK watumishi walipandishiwa mishahara, kila mtu alivuna kwa uwezo wake,wafanyabiashara walifurahia biashara zao,wanasiasa walifurahia siasa zao,bidhaa za ujenzi ziliuzwa nafuu kabisa na kila mwananchi aliyejiweza alijenga nyumba yake lakini hivi sasa ni wachache sana wanaojenda hasa watumishi wa uma.
Tuoneane huruma,sote tu wanadam. Huwezi kufurahia wakati mwenzako wa damu anaumia hata Mungu hapendi.
Para ya kwanza tu inaonyesha huna reference, uzi wa kimajungu kama Juma lokole.Pamoja na kua JK alikua na madhaifu yake lakini huyu baba alibadili maisha ya watu, aliwafanya watu waishi kwa raha, aliwafanya watu wawe na amani ndani ya nchi zao. Watu hawakubaguana kwa itikadi zao za vyama tofauti na hivi sasa.JK aliwafanya wafanyakazi waishi kwa raha, aliyekua na elimu aliifurahia elimu yake, kila mtu alipata kutokana na upambanaji wake tofauti na hivi sasa ambapo tunakazimishwa tuishi sawa kitu ambacho hakiwezekani.