Sijawahi kuguswa na hilo pato kiuchumi.
Sijawahi kuhisi matunda ya uwepo wa twiga waliosafirishwa kwenye ile ndege kiuchumi.
Sijawahi kuhisi matunda ya uwepo wa faru john kiuchumi.
Nasubiri matunda ya ujenzi wa uwanja wa ndege Chato kiuchumi.
Nasubiri matunda ya ujenzi wa daraja la Selander kiuchumi.
Nasubiri matunda ya kubana matumizi.