Asante sana kijana.
Wazee huwa tunafurahi tu, maana tumekwepa mishare ya kila aina, so tayari umri wako umefahamika [emoji1490]!.
Kuna siku utaelewa na muda utakuwa umekutupa jinsi akili yako ilivyo.
Laiti ungerejea point of you na kuelewa sababu ya kuni_quote sidhani kama ungefikia kutoa matusi.
Top to all good, hii ndo JF[emoji1]!.