Codie africana
Member
- Feb 6, 2021
- 12
- 34
Wakuu samahani nahitaji kununua hii bidhaa online marketing ambayo ni kikuuu ila nna wasiwasi
sasa naweza nikapata hii simu yenyew au ntakua nmepigwa
Utapigwa kwa maaana gani?Hiyo ni android sio iphone macho matatu..Wakuu samahani nahitaji kununua hii bidhaa online marketing ambayo ni kikuuu ila nna wasiwasi View attachment 2003218sasa naweza nikapata hii simu yenyew au ntakua nmepigwa


Dah ahsante kwa kunielewesha mkuuUtapigwa kwa maaana gani?Hiyo ni android sio iphone macho matatu..
Kumbe sometimes wanaznguaTafuta dawa za kuondoa stress kwanza kabla ya kulipia mzigo
Hiyo picha inaonekana simu nzuri lakn ukiipata itakuwa tofauti na jinsi unavyotegemea.
Niliwahi kuaguza memory stick 120 GB lakn nilipoipata ilikuwa 30 GB na hakuna wa kurudisha mpunga![]()