Abdul kalaam JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 446 Reaction score 568 Jul 16, 2023 #1 Ndugu yangu musidanganyike Kuna watu wanadanganya wenzao waombe kazi sehemu ambazo hata hawana malengo nazo kwa lengo la kuhama wakishalata ajira. Utajuta uhamisho ni kipengele.
Ndugu yangu musidanganyike Kuna watu wanadanganya wenzao waombe kazi sehemu ambazo hata hawana malengo nazo kwa lengo la kuhama wakishalata ajira. Utajuta uhamisho ni kipengele.
M mazaga one JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 2,603 Reaction score 4,190 Jul 17, 2023 #2 We jamaa Yaani umepata Ajira unaaanza dharau Sasa...Dah vijana kazi sana
alumn JF-Expert Member Joined Jul 15, 2018 Posts 2,369 Reaction score 3,178 Jul 17, 2023 #3 Yote yawezekana kwake yeye aaminiye.
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,937 Reaction score 8,358 Jul 17, 2023 #4 Abdul kalaam said: Ndugu yangu musidanganyike Kuna watu wanadanganya wenzao waombe kazi sehemu ambazo hata hawana malengo nazo kwa lengo la kuhama wakishalata ajira. Utajuta uhamisho ni kipengele. Click to expand... Tuelezee zaidi
Abdul kalaam said: Ndugu yangu musidanganyike Kuna watu wanadanganya wenzao waombe kazi sehemu ambazo hata hawana malengo nazo kwa lengo la kuhama wakishalata ajira. Utajuta uhamisho ni kipengele. Click to expand... Tuelezee zaidi
Champion number one JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 1,560 Reaction score 4,016 Jul 17, 2023 #5 Piga kazi mkuu, kitaa kigumu Sana natamani niwe wewe.
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,131 Reaction score 14,611 Jul 17, 2023 #6 Mtaani kugumu nyiee dah